Jumatano, 11 Desemba 2013

B’HITZ MUSIC GROUP Presents DJ CHOKA this DECEMBER 11.12.13


599412_10152138729966015_1388222414_n
Baada ya kutesa na wimbo wake wa PRESS PLAY kwa mwaka jana na mwaka huu akatoa LATINO NATION hivi sasa DJ CHOKA anafunga mwaka na wimbo wa STINGA LI ambapo atakuwa ametoa nyimbo mbili kwa mwaka 2013. Stay tune kwa ujio mwingine ambapo atakuwa amewashirikisha wasanii vijana katika game hili la bongo fleva na msichana mmoja mgeni kabisa anayeimba ambaye anaitwa MIS RIZZY pamoja na kijana mmoja anaitwa PLUTO.
Share this post
  • Share to Facebook
  • Share to Twitter
  • Share to Google+
  • Share to Stumble Upon
  • Share to Evernote
  • Share to Blogger
  • Share to Email
  • Share to Yahoo Messenger
  • More...

0 maoni

:) :-) :)) =)) :( :-( :(( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ :-$ (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer

 
Posts RSSComments RSSBack to top
© 2011 SEIF DULLAH ∙ Designed by BlogThietKe
Released under Creative Commons 3.0 CC BY-NC 3.0